Ansarullah: Hasira ya Netanyahu ni furaha kwetu

Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeeleza kuridhishwa kwake na hatua ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kulaani mashambulizi yanayotekelezwa na Jeshi la Yemen dhidi ya ngome za Isarel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kusema hasira yake ni ushahidi wa juhudi zenye mafanikio katika kuunga mkono Wapalestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *