Angola: Kilichokwamisha mazungumzo ya Jumanne baina ya serikali ya DRC na M23 ni nguvu za kigeni

Wizara ya Mambo ya Nje ya Angola imesema kuwa mazungumzo ya amani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la March 23 ambayo yalipangwa kufanyika juzi Jumanne, yalisitishwa kutokana na ushawishi wa nguvu za nje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *