Amri ya Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa lilitolewa wiki mbili kabla ya Oktoba 7

Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vinasema kuwa, vina ushahidi unaoonesha kwamba, Muhammad Deif, Kamanda Mkuu wa Brigedi za Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la HAMAS alitoa amri ya kutekelezwa Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa wiki mbili kabla ya tarehe 7 Oktoba 2023.