Amnesty: Hatua ya Marekani ya kumkaribisha Netanyahu ni kudharau haki na uadilifu wa kimataifa

Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limelaani kitendo cha Marekani cha kumpokea waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu.