Alichosema Waziri wa Fedha, Dkt

Alichosema Waziri wa Fedha, Dkt

Alichosema Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu deni la Serikali hadi kufikia Aprili 2025.

“Deni la Serikali hadi kufikia Aprili 2025 lilikuwa ni shilingi trilioni 107.70 na kati ya kiasi hicho deni la nje likiwa ni shilingi trilioni 72.94 ….,hatupaswi kuwa na hofu kabisa “, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Dodoma.
#BajetiKuu2025
#azamnewsupdates

✍Juliana James
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *