Albanese aongezewa muda wa kuhudumu UN licha ya vita vikali vya wakereketwa wa Israel

Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa miaka mitatu zaidi, licha ya upinzani mkali wa makundi na nchi kadhaa zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwemo Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *