Al-Jolani: Syria iko tayari kuanzisha uhusiano rasmi na Israel ‘kwa masharti sahihi’

Rais wa mpito wa Syria Al-Jolani amesema yuko tayari kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel. Hayo ni kwa mujibu wa barua inayoripotiwa kuwa ameituma kwa Rais wa Marekani Donald Trump.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *