Al Houthi: Tupo tayari kutekeleza oparesheni dhidi ya Israel iwapo haitaruhusu misaada kuingia Gaza

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amethibitisha msimamo wa harakati hiyo kuhusu muhula walioutoa kwa Israel ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *