Al Houthi: Israel inapanga kushambulia nchi zingine ikiwa itaangamiza Palestina

Kiongozi wa harakati ya Muqawama ya  Ansarullah ya Yemen ameonya kuwa utawala ghasibu wa Israel utaanza kushambulia nchi nyingine ikiwa utafanikiwa kuangamiza juhudi za ukombozi za Palestina dhidi ya ukaliaji na uchokozi wake, huku akipendekeza hatua za kijeshi na nchi za Kiarabu na Kiislamu dhidi ya utawala huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *