Al-Houthi: Iran ilikuwa na nafasi muhimu katika ushindi wa kihistoria wa Palestina

Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kambi ya muqawama na kambi ya uungaji mkono imetoa pigo kwa adui na kwamba, Iran ilikuwa na nafasi muhimu katika kupatikana ushindi dhidi ya utawala haramu wa Israel.