Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka + Video

Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza.