Ajira 40,000 zimebuniwa katika sekta ya biashara ya Kenya ya kutoa huduma nje

Sekta ya Biashara ya Kenya (BPO) imefanikiwa kubuni zaidi ya ajira 40,000 hivi karibuni, ikisaidiwa na kuingia wawekezaji wapya waliovutiwa na sera wezeshi na mazingira ya udhibiti.