Ahmad Nouruzi aipongeza taasisi ya HRF kwa kuwaandama kisheria viongozi wa Israel

Mkuu wa Kitengo cha Matangazo ya Ng’ambo cha Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amepongeza juhudi za Taasisi ya Hind Rajab (HRF) kwa kuendesha juhudi za kimataifa za kuwafungulia mashtaka na kuwaandamana kisheria viongozi wahalifu wa Israel kwa jinai zao huko Ghaza.