Agizo la Trump kusitisha usambazaji wa dawa za HIV ,TB na Malaria, ina athari gani Afrika?

Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kusaini agizo la kuiondoa nchi hiyo katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku chache zilizopita imeanza kuleta athari kadhaa hususan barani Afrika kama ilivyotarajiwa