Afrika Kusini: Yumkini tutageukia Russia, Iran kwenye mradi wetu wa nyuklia

Afrika Kusini imesema huenda itashirikiana na Russia au Iran katika juhudi za kupanua uwezo wake wa nishati ya nyuklia.