Afrika Kusini yapongeza makubaliano ya kusitisha mapigano Ghaza

Serikali ya Afrika Kusini imepongeza makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya Israel na Hamas na kuyataja kuwa ni “hatua muhimu ya kwanza” kuelekea kumaliza mgogoro wa kibinadamu huko Ghaza.