Afrika Kusini yaonya kuhusu vita vipya vya ushuru vya Trump

Jana Alkhamisi, Afrika Kusini ilionya kuhusu vita vipya vya ushuru vilivyoanzishwa na rais wa Marekani na kuelekezea wasiwasi wake kuhusu ushuru uliowekwa na Donald Trump kwa bidhaa za Afrika Kusini na kusema hilo litakuwa na madhara kwa pande zote mbili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *