Afrika Kusini yalaani mpango wa Marekani wa kuwachukua Wazungu wa nchi hiyo kama wakimbizi

Afrika Kusini imekosoa mpango wa Marekani baada ya ripoti kuibuka zikieleza kwamba Washington inaweza kuwachukua Wazungu wa nchi hiyo (Afrikaner) kama wakimbizi kuanzia wiki ijayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *