Afrika Kusini: Tumesikitishwa na hatua ya Washington ya kumfukuza balozi wetu

Afrika Kusini imetanagza kuwa uamuzi wa Marekani kumfukuza wa nchi hiyo mjini Washington, Ebrahim Rasool “unasikitisha”, lakini nchi hiyo “bado ina nia ya kujenga uhusiano wa kunufaishana” na Washington.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *