Afrika Kusini Kuendesha Mkutano wa Kilele wa G20 kwa mafanikio hata bila uwepo wa Marekani

Afrika Kusini itahakikisha Mkutano wa Kilele wa G20 unafanikiwa, iwe Marekani itahudhuria au la, amesema Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Paul Mashatile.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *