Afrika Kusini: Israel inatumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya watu wa Gaza

Afrika Kusini imesema kwamba “Israel inatumia njaa kama silaha ya vita” huko Gaza kwa kuzuia misaada ya kibinadamu kufika eneo hilo tangu Jumapili iliyopita.