Africa CDC yazindua kampeni ya haraka baada ya kuthibitishwa kuingia virusi vya Marburg nchini Tanzania

Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (Africa CDC) kimetangaza mipango ya kuhamasisha msaada wa haraka wa kuisaidia Tanzania kukabiliana na mripuko wa virusi vya Marburg.