Afisa wa UN: Sudan Kusini iko kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe

Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, Nicholas Haysom, ameonya kwamba nchi hiyo inaweza kurejea katika vita vya wenyewe kwa wenyewe baada ya mapigano yaliyotokea kaskazini mashariki mwa nchi kulazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao, huku balozi kadhaa za Magharibi kujitolea kufanya upatanishi ili kuzuia hali kuwa mbaya zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *