Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina

Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa adhimu la Palestina na kusimama imara kukabiliana na Uistikbari na mamluki wake yaani utawala wa niaba wa Wazayuni katika eneo hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *