Abramovich anaweza kukabiliwa na deni la £1bn kwasababu ya kukwepa kodi Uingereza

Mfanyabiashara nguli wa Urusi, Roman Abramovich anaweza kuwa na deni la Uingereza la hadi £1bn baada ya jaribio lisilofanikiwa la kukwepa ushuru wa uwekezaji