Abdul-Malik al-Houthi: Umma wa Kiislamu unabeba jukumu la mauaji ya kimbari Gaza

Sayyid Abdul-Malik Badr al-Din al-Houthi, Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameeleza kuwa, jamii za Kiarabu na Umma wa Kiislamu zinabeba jukumu la msingi la mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza akisisitiza matokeo mabaya ya kutochukua kwao hatua.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *