Abbas Araghchi kufanya safari Saudi Arabia na Qatar kwa ajili ya shughuli za kidiplomasia

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuzuru Saudi Arabia na Qatar Jumamosi ya kesho ikiwa ni sehemuu ya juhudi mpya za kuimarisha uhusiano na majirani wa eneo hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *