Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kutochukua hatua kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani na waungaji mkono wengine wa Magharibi wa Israel kuwa ndio sababu kuu ya kuendelea jinai, chokochoko na vitendo visivyo halali vya utawala haramu wa Kizayuni.
Related Posts
Iran: Utawala wa Israel ni kikwazo kikubwa kwa amani na chanzo cha mivutano katika eneo
Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameukosoa vikali utawala ghasibu wa Israel na…
Rwanda yadhibiti idadi ya wanaohudhuria mazishi baada ya mlipuko wa virusi vya Marburg
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa, inatekeleza mpango wa kudhibiti idadi ya watu wanaohudhuria mazishi ya waathiriwa wa virusi vya Marburg…
Ramaphosa: Afrika Kusini kutoa kipaumbele kwa mahitaji na matarajio ya Afrika
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa nchi yake itakapochukua uwenyekiti wa kundi la G-20 baadaye mwaka huu, nchi…