Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London umeilaumu Uingereza kwa siasa zake za nyuso mbili kuhusu ugaidi na kusema kuwa, wakati wananchi wa Iran wanapouawa kigaidi, kwa mujibu wa serikali ya London, ugaidi huo unavumilika, na hauwezi kuchukuliwa msimamo kama wa ugaidi unaofanyika maeneo mengine.
Related Posts
#SWALILAKIPIMAJOTO: “Kujirudia tatizo la wakulima kupunjwa bei ya mazao yao
#SWALILAKIPIMAJOTO: “Kujirudia tatizo la wakulima kupunjwa bei ya mazao yao. Je, kuunda Tume ya bei ni suluhisho?” Post Views: 28
#SWALILAKIPIMAJOTO: “Kujirudia tatizo la wakulima kupunjwa bei ya mazao yao. Je, kuunda Tume ya bei ni suluhisho?” Post Views: 28
Habari za Saa, Saa Nane na Dakika 55, 05 Agosti 2024
Habari za Saa, Saa Nane na Dakika 55, 05 Agosti 2024 Post Views: 29
Habari za Saa, Saa Nane na Dakika 55, 05 Agosti 2024 Post Views: 29
Iran: Utawala wa Israel ni kikwazo kikubwa kwa amani na chanzo cha mivutano katika eneo
Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameukosoa vikali utawala ghasibu wa Israel na…
Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameukosoa vikali utawala ghasibu wa Israel na…