kampuni ya CHICO na mhandisi mshauri wa ujenzi huo (SMEC International) kukamilisha ujenzi wa uwanja huo kwa wakati baada ya baa…

kampuni ya CHICO na mhandisi mshauri wa ujenzi huo (SMEC International) kukamilisha ujenzi wa uwanja huo kwa wakati baada ya baa…

kampuni ya CHICO na mhandisi mshauri wa ujenzi huo (SMEC International) kukamilisha ujenzi wa uwanja huo kwa wakati baada ya baadhi ya maeneo ya ujenzi huo kukamilika kwa asilimia 100.

Besta ametoa agizo hilo leo Juni 16, 2025 baada ya kufanya ukaguzi katika uwanja huo na kuridhishwa na kasi ya ujenzi ambao kwa ujumla umefikia asilimia 82.

Ujenzi wa uwanja huo umekamilika kwa asilimia 100 katika sehemu ya kutua na kurukia ndege, jengo la abiria asilimia 72 na ujenzi kamili unatakiwa kukamilika Septemba 2025.

Imeandaliwa na @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *