Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda KCMC kwa matibabu tangu Jumamosi baada ya hali yake kubadilika akiwa kwenye ziara mkoani Kilimanjaro.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi