Katika juhudi za kutokomeza magonjwa ya mifugo nchini, serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 216 kwa ajili ya kampeni maal…

Katika juhudi za kutokomeza magonjwa ya mifugo nchini, serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 216 kwa ajili ya kampeni maal…

Katika juhudi za kutokomeza magonjwa ya mifugo nchini, serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 216 kwa ajili ya kampeni maalum ya chanjo na utambuzi wa mifugo ili kuboresha afya ya mifugo na kuongeza tija kwa wafugaji.

Kampeni hii inalenga kuhakikisha mifugo yote inapatiwa chanjo dhidi ya magonjwa hatari yanayoathiri uzalishaji na usalama wa chakula.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *