Shuhudia mtoto Natalya anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka sita alivyowaacha viongozi na wageni midomo wazi wakati wa Rais Samia Suluhu Hassan akizinduza kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa mifugo uliofanyika mkoani Simiyu.
Wakati wa hafla hiyo, Natalya alipewa nafasi ya kutoa burudani fupi kwa hadhira, ambapo kwa ujasiri mkubwa na lugha ya kuvutia aliibua hisia na shangwe.
#AzamTVUpdates
✍Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi