Wadau wa biashara na viwanda wamepongeza hatua ya Serikali kupendekeza udhibiti wa ushuru kwa baadhi ya bidhaa, kuzuia ufungwaji…

Wadau wa biashara na viwanda wamepongeza hatua ya Serikali kupendekeza udhibiti wa ushuru kwa baadhi ya bidhaa, kuzuia ufungwaji…

Wadau wa biashara na viwanda wamepongeza hatua ya Serikali kupendekeza udhibiti wa ushuru kwa baadhi ya bidhaa, kuzuia ufungwaji holela wa biashara, na kuwawekea mipaka wageni wasijihusishe na biashara zinazopaswa kufanywa na wazawa.

Wakizungumza na #azamnews , wamesema mwelekeo huo mpya uliowasilishwa bungeni Dodoma Jumatatu hii katika mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2025/2026, unatoa matumaini mapya kwa wafanyabiashara wa ndani.

Je, unadhani suala hili ni muafaka kwa Serikali kuimarisha mazingira rafiki ya biashara kwa wazawa? tuandikie maoni yako na tutayasoma katika Taarifa ya Habari ya #azamutvmitandaoni .

#azamnewsupdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *