Kituo cha Utangazaji cha Taifa cha Iran (IRIB) kimeshambuliwa na makombora ya Israel wakati matangazo ya moja kwa moja yakiendel…

Kituo cha Utangazaji cha Taifa cha Iran (IRIB) kimeshambuliwa na makombora ya Israel wakati matangazo ya moja kwa moja yakiendel…

Kituo cha Utangazaji cha Taifa cha Iran (IRIB) kimeshambuliwa na makombora ya Israel wakati matangazo ya moja kwa moja yakiendelea hii leo.

Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa shambulizi hilo limetokea wakati mtangazaji wa zamu akionyeshwa moja kwa moja kwenye runinga, kisha matangazo yakakatika ghafla.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *