Kombe la Dunia la Klabu
Saa 4:00 usiku, Chelsea kucheza na Los Angeles FC, mechi ya kwanza Kundi G.
Uchambuzi wa mechi hii utaanza saa 3:00 usiku.
Je, Oliver Giroud akiwa na chama lake Los Angeles watapata alama mbele ya matajiri wa London?
Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazma michuano hii mwanzo mwisho.
#ClubWorldCup #Azamtvsports