Shule za msingi na sekondari mkoani Kagera zinazotoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wake zimepigwa marufuku kutumia magari yeny…

Shule za msingi na sekondari mkoani Kagera zinazotoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wake zimepigwa marufuku kutumia magari yeny…

Shule za msingi na sekondari mkoani Kagera zinazotoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wake zimepigwa marufuku kutumia magari yenye vioo vyenye rangi za giza (Tinted) ili kulinda usalama wa wanafunzi na kuongeza uwazi wa huduma hizo.

Benson Eustace ameandaa taarifa ifuatayo.

Mhariri @moseskwindi

#AzamTVUpdates #UTV108 #AdhuhuriLive

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *