Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania katika hafla iliyofanyika leo, Juni 15, 2025 Ikulu…

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania katika hafla iliyofanyika leo, Juni 15, 2025 Ikulu…

Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania katika hafla iliyofanyika leo, Juni 15, 2025 Ikulu Chamwino, Dodoma.

Katika hotuba yake, Rais Samia amemtaka Jaji Masaju kusimamia kwa uadilifu utoaji wa haki, pamoja na kuendelea kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai ili haki isimame ipasavyo nchini.

Jaji Masaju anachukua nafasi ya Profesa Ibrahim Juma aliyestaafu rasmi.

#azamnewsupdates
✍George Mbara
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *