Hili ndilo neno la shukrani kutoka kwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju kwa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuapishwa leo.
Jaji Mkuu Masaju amesitiza usimamiaji wa haki na utekelezaji mzuri wa majukumu yake.
✍Alpha Jenipher
Mhariri|@claud_jm
#AzamTVUpdates