Serikali inafikiria kuanza kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato hata kabla ya ujenzi wake kufikia asilimia 100 endapo…

Serikali inafikiria kuanza kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato hata kabla ya ujenzi wake kufikia asilimia 100 endapo…

Serikali inafikiria kuanza kutumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato hata kabla ya ujenzi wake kufikia asilimia 100 endapo tu wataalamu wakijiridhisha kuhusu sehemu zipi zitakazofaa kuanza kazi. Hadi sasa, ujenzi wa uwanja huo umefikia asilimia 87.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara, mara baada ya kushuhudia majaribio ya safari ya ndege katika uwanja huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *