Wadau wa haki jinai nchini wameweka mezani maoni yao kwa Jaji Mkuu mteule, George Masaju, wakimtaka kuweka kipaumbele kwenye mas…

Wadau wa haki jinai nchini wameweka mezani maoni yao kwa Jaji Mkuu mteule, George Masaju, wakimtaka kuweka kipaumbele kwenye mas…

Wadau wa haki jinai nchini wameweka mezani maoni yao kwa Jaji Mkuu mteule, George Masaju, wakimtaka kuweka kipaumbele kwenye masuala ya uhuru wa mahakama, mgawanyo wa majukumu, na kuongeza imani ya wananchi kwa mhimili wa mahakama.

Wanasema maeneo hayo ni ya msingi kwa kuharakisha upatikanaji wa haki na kurejesha imani ya wananchi wanaoutegemea mhimili huo.

Mapendekezo haya yanakuja kufuatia uteuzi wa Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania akichukua nafasi ya Profesa Ibrahim Juma aliyemaliza muda wake.

#azamnewsupdates
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *