Wizara ya Afya imewataka wananchi kutokuwa na hofu kufuatia kuongezeka kwa matukio ya mafua makali kwa baadhi ya watu katika kip…

Wizara ya Afya imewataka wananchi kutokuwa na hofu kufuatia kuongezeka kwa matukio ya mafua makali kwa baadhi ya watu katika kip…

Wizara ya Afya imewataka wananchi kutokuwa na hofu kufuatia kuongezeka kwa matukio ya mafua makali kwa baadhi ya watu katika kipindi hiki.

Imeelezwa kuwa hali hiyo siyo dalili za COVID-19, bali ni matokeo ya mabadiliko ya hali ya hewa yanayoathiri kinga za miili ya watu wengi.

Wizara inatoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari za kiafya, ikiwa ni pamoja na kuvaa nguo za joto na kuimarisha lishe.

#azamnewsupdates
@joempangala
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *