Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Masaju anachukua nafasi ya Prof. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025, Ikulu, Chamwino Doodoma.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *