Wachumi pamoja na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wameeleza mitazamo yao juu ya #BajetiKuu2025, wakielezea matarajio ya…

Wachumi pamoja na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wameeleza mitazamo yao juu ya #BajetiKuu2025, wakielezea matarajio ya…

Wachumi pamoja na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini wameeleza mitazamo yao juu ya #BajetiKuu2025, wakielezea matarajio yao kabla ya kuanza kwa mjadala rasmi wa wabunge bungeni.

Maoni mengi yamejikita katika umuhimu wa bajeti hiyo kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida, kukuza ajira, kuimarisha sekta ya kilimo na kupunguza gharama za maisha. Wengi wanaiangalia bajeti hii kama fursa ya kuleta mageuzi yenye tija katika uchumi wa nchi.

#azamnewsupdates
Mhariri| @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *