#BajetiKuu2025 Rais @samia_suluhu_hassan ni miongoni mwa Watanzania wengi wanaofuatilia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026 mbashara kupitia runinga.
Tupate mbashara kupitia #UTV chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV, pia kupitia #AzamTVMaxApp pamoja na chaneli zetu za YouTube #AzamTV na #UTVTanzania
✍️ @abuuyusuftz
#HotubaYaBajeti #BungeLIVE #AzamTVUpdates