Katika #Bajetikuu2025, Serikali imependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano (5) kwa aiskrimu (icecream) z…

Katika #Bajetikuu2025, Serikali imependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano (5) kwa aiskrimu (icecream) z…

Katika #Bajetikuu2025, Serikali imependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano (5) kwa aiskrimu (icecream) zinazotengenezwa ndani ya nchi na asilimia 10 kwa zinazoagizwa kutoka nje.

Hatua hii inalenga:
-Kupunguza athari za kiafya zinazotokana na ulaji wa bidhaa zenye sukari nyingi
-Kukuza uzalishaji wa ndani kwa kulinda viwanda vya hapa nchini
-Kuongeza mapato ya Serikali yatakayofikia shilingi milioni 119,465.5

#azamnewsupdates
✍@official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *