Uganda:Mjue kinda wa muziki wa “rap” nchini Uganda

12 Juni 2025

Ni mtoto mdogo sana, lakini tayari ameonyesha makali katika muziki wa ragga. Anatambulika kama Fresh Kid UG na alianza kung’ara akiwa na miaka 7 na hadi sasa ametoa nyimbo 20. Ungana nami hapa ujionee kipaji hiki. #77% #kurunzi #dwkiswahili #msichanajasiri

https://p.dw.com/p/4vpMW

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *