Wananchi na wafanyabiashara katika eneo la Buseresere lililopo Wilaya ya Chato mkoani Geita, wamesimulia namna moto ulivyozuka na kuteketeza maduka 10 na kusababisha hasara kubwa ya mali, ingawa hakuna madhara yoyote ya kibinadamu yaliyoripotiwa.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi