Ulinzi umeimarishwa katika Jiji la Los Angeles baada ya Meya Karen Bass kutangaza amri ya kutotoka nje, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na uhalifu unaoweza kujitokeza.
Meya huyo amesema kuwa amri hiyo itatekelezwa kuanzia saa mbili usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi