Mkoa wa Lindi unazindua maonesho ya madini na fursa za uwekezaji leo, ambapo hadi sasa taasisi zaidi ya 80 tayari zimejitokeza k…

Mkoa wa Lindi unazindua maonesho ya madini na fursa za uwekezaji leo, ambapo hadi sasa taasisi zaidi ya 80 tayari zimejitokeza k…

Mkoa wa Lindi unazindua maonesho ya madini na fursa za uwekezaji leo, ambapo hadi sasa taasisi zaidi ya 80 tayari zimejitokeza kushiriki katika maonesho hayo, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka zaidi.

Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya madini vilivyopo wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *